1. Maoni katika Mtandao wa Habari wa Sabahionline.com yanakusudiwa wasomaji wote kutoka Pembe ya Afrika na nchi nyengine zinazojumuishwa katika tovuti, zenye mafungamano na nchi hizo, zenye biashara na au pamoja na nchi hizo, na Wenzao. Maoni katika habari na makala ya Sabahionline.com yanakusudiwa yawe ya kushawishi ubadilishanaji wa maoni na majadiliano ya wazi juu ya mada za wakati huu katika njia ya ustaarabu na tabia ya uwazi kwa wasomaji wote kuyaona.
2. Hili ni jukwaa linalosimamiwa. Mtandao wa Habari wa Sabahionline.com utasimamia maoni na una haki ya kuondosha, kuhariri au kubadilisha maudhui yatakayoona hayafai.
3. Mawasiliano yote yanayopokelewa na Mtandao wa Habari wa Sabahionline.com yanakusudiwa kuchapishwa isipokuwa kama itaoneshwa vyenginevyo na mwandishi mwanzoni mwa ujumbe.
4. Mtandao wa Habari wa Sabahionline.com una haki ya kuhariri maudhui, uwazi na urefu wa maoni. Maoni juu ya habari au makala ya Sabahionline.com lazima yawe yanaridhisha katika asili yake. Maoni ambayo ni nje ya mada hayatatumwa. Maoni mafupi yanayohusiana na kupenda au kuchukia kwa msomaji juu ya habari au makala yanaweza kutumwa au yasitumwe, kwa busara za Sabahionline.com
5. Sehemu ya maoni imewekwa kwa ajili ya maoni yanayohusiana na mada ya habari au makala. Hutakiwi kuchapisha habari ndefu kutoka kazi yako mwenyewe au zile za wengine, ikiwa ni pamoja na makala za habari. Unaweza kuomba tutume kiungo chake katika maoni.
6. Maoni ambayo ni ya matusi, ya kukera, yenye maneno machafu au ubaguzi n.k. hayatatumwa. Kutajana majina, mashambulizi binafsi, maoni ya kibaguzi, au matumizi ya lugha chafu toka kwa mtoa maoni, hayatatumwa.
7. Watumaji wasiojitaja majina yao lazima wajitambulishe kwa jina lile lile la utani, ili wasomaji waelewe maoni yake yanatoka kwa mtu huyo huyo. Ikiwa hawatafanya hivyo, utambulisho wa nambari utawekwa kwa ajili yao.
8. Kupeleka maoni kwa ajili ya kutumwa kwenye Sabahionline.com kunahusiana na kukubaliana na makubaliano na masharti yaliyotajwa katika sera hii ya maoni. Sera hii inaweza kurekebishwa sehemu yake au yote wakati wowote bila ya taarifa.
9. Kitu chochote kilichomo katika Mtandao wa Habari wa Sabahionline.com kisitafsiriwe kama ni ushauri wa kisheria. Sabahionline.com haitoi ushauri wa kisheria.
10. Maoni yote lazima yakubaliane na sheria zinazotumika katika nchi anayoishi mtoaji maoni. Mtandao wa Habari wa Sabahionline.com hauna wajibu wa kusimamia, kuhariri, kudhibiti, au kuchukua dhamana ya maoni. Sabahionline.com unaweza kuchukua au kutochukua hatua juu ya kukiukwa kwa sera yake ya maoni. Wasomaji wanaoweka maoni ndio wenye dhamana pekee kwa maudhui ya maoni yao na lazima wahakikishe kuwa maoni yao ni halali na yanakubaliana na miongozo iliyoelezwa.
11. Maoni ambayo yana viungo vya tovuti nyengine ambayo hayafuati kanuni za sera hii za maoni kama ilivyoelezwa katika ibara ya 6 na 10 ya sera hii hayatatumwa.
12. Ili kurahisisha ubadilishanaji maoni na majadiliano ya wazi yaliyokusudiwa kuhusu mada za wakati huu katika hali ya ustaarabu na uwazi kwa wasomaji kuona na kuepuka jawabu zisizofaa kutoka kwa watu wasiokubaliana na maoni ya mtumaji, maoni yenye anuani za barua pepe binafsi au nambari za simu katika sehemu ya maoni, habari za mawasiliano zitaondoshwa kabla ya kuchapishwa.
13. Hutakiwi kutangaza mashirika ya biashara au kujihusisha na shughuli za kibiashara katika jukwaa la majadiliano la Sabahionline.com
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
Ukiritimba na ukosefu wa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam unaigharimu Tanzania na nchi jir...
Viongozi wa mkoa wa Puntland walikutana siku ya Jumanne (tarehe 21 Mei) kuwashajiisha wanawake ku...
Wanajeshi wa Somalia na wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) waliwakamata zaidi ...
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti alijadiliana ushirikiano wa kimkakati na Kanali Saleh Ben Na...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, vikosi vya usalama na mahakama vinapaswa kuomba radhi hadharani kut...
Waziri Mkuu wa Djibouti Abdoulkader Kamil Mohamed alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano katika...
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...