Kanusho

Kanusho la Viungo

Viungo kutoka Sabahionline.com kwenda kwa tovuti nje ya Serikali ya Marekani au kwa matumizi ya biashara, majina ya kampuni au mashirika ndani ya wavuti, ni kwa ajili ya manufaa ya mtumiaji. Matumizi ya aina hiyo hayahusiani na maandishi rasmi au kuthibitishwa na Wizara ya Ulinzi ya Marekani kwa Tovuti ya sekta yoyote binafsi, bidhaa au huduma. Wizara ya Ulinzi ya Marekani haifanyi udhibiti wa uhariri juu ya habari unazoweza kuzikuta humu. Viungo hivyo vinapewa uzito kutokana na dhamiri iliyoelezwa ya wavuti huu. Viungo vyote kwa Sabahionline.com vinakaribishwa.

Haki ya Kunakili

Isipokuwa kama hati ya kunakili imeelezwa, habari katika wavuti huu ziko kwa ajili ya umiliki wa umma na zinaweza kunakiliwa na kuenezwa bila ya kuomba ruhusa. Kutaja nukuu ya habari asilia kunathaminiwa. Ikiwa hati ya kunakili imeoneshwa kwenye picha, mchoro au kitu chochote, ruhusa ya kunakilii nyenzo hizo lazima ipatikane toka kwa chanzo asilia.

Kanusho la Dhima

Kila juhudi zinachukuliwa ili kutoa habari sahihi na kamili katika Sabahionline.com. Hata hivyo, kutokana na kiwango cha makala zinazopatikana, mara nyingi zikiwa zimeingizwa humu kwa kuzingatia muda mfupi, hatuwezi kuhakikisha usahihi wa habari iliyotolewa. Kuhusu makala na habari katika Tovuti hii, serikali ya Marekani, Wizara ya Ulinzi ya Marekani wala waajiriwa wao au makontrakta hawafanyi waranti wowote, kwa kudhihirisha au kuhusika, ikiwa ni pamoja na waranti za biashara au ubora kwa dhamiri maalumu kuhusiana na makala zinazopatikana katika Sabahionline.com. Wizara ya Ulinzi ya Marekani au chombo chochote cha kisheria ambacho kimechangia kwa njia moja au nyengine katika njia yoyote ya utayarishaji, uundaji au utangazaji wa data za Sabahionline.com, zinakana dhima yoyote itakayotokana na matumizi yoyote yasiyofaa, yasiyo sahihi au ya udanganyifu ya kutumia data zilizotolewa kwa yule atakayetembelea humu. Na zaidi ya hayo, si Wizara ya Ulinzi ya Marekani au makontrakta wake watakuwa na dhima ya matukio ya kifedha, na kwa lolote lingine, litakalojiri kwa matumizi ya nyenzo za tovuti hii kwa njia isiyofaa, isiyo sahihi au ya kidanganyifu. Utafutaji au utumiaji wa habari za Sabahionline.com moja kwa moja kunapelekea kukubali kikamilifu kanusho la dhima la hapo juu.

Taarifa ya Usalama na Faragha

Wizara ya Ulinzi ya Marekani inatumia programu za kuweka muhtasari wa takwimu kwa kutathmini habari gani ni za maslahi au si za maslahi zaidi au kuainisha utendaji wa mfumo wa programu au maeneo yenye matatizo. Ikiwa utaamua kutoa habari zako binafsi katika ujumbe wa barua-pepe, tunazitumia kwa ajili ya kujibu baruapepe yako tu. Kwa madhumuni ya usalama wa tovuti na kwa kuhakikisha kuwa huduma hii inapatikana kwa watumiaji wote, Wizara ya Ulinzi ya Marekani inatumia programu kuainisha majaribio usioidhinishwa ya kupachika au kubadilisha habari au chochote cha kuleta uharibifu. Taarifa zikazopatikana ikiwa ni matokea ya usimamizi huu zinaweza kutumika kwa uchunguzi wa utekelezaji halali wa sheria. Majaribio yasiyoidhinishwa ya kuingiza habari au kubadili habari katika huduma hii kunakatazwa kabisa na kunaweza kuadhibiwa chini ya Sheria ya Udanganyifi na Matumizi Mabaya ya Kompyuta ya mwaka 1986 na Kifungu 18 cha Sheria za Marekani (U.S.C), Ibara ya 1001 na 1030. Isipokuwa kwa madhumuni hayo hapo juu, hakuna majaribio mengine yoyote yanafanywa kumtambua mtumiaji au kawaida zake za matumizi.

Cookies

Tovuti hii inaweza kutumia cookies kurahisisha ufahamu wa matumizi ya tovuti, kuboresha yaliyomo, na/au kuufanya uwe binafsi uzoefu wako katika tovuti . Cookie ni faili lenye maandishi mchache linaloweza kutumwa kutoka kompyuta ya tovuti kwenda kivinjari cha mtandao wako ili kuhifadhi mapendeo yako. Mara nyingi coockies zinacho kitambulisho cha kipekee na kisicho jina, lakini, cookies zenyewe hazidhihrishi anuani ya barua pepe yako wala habari yengine binafsi za utambulisho isipokuwa kama wewe mwenyewe umeamua kutoa taarifa hizi peke yake. Ikiwa mapendeleo yako ya faragha yanaruhusu, tovuti hii inaweza kuweka coockie katika kivinjari cha mtandao wako ili kuipata cookie hiyo. Ikiwa utapendelea kugawana na wengine taarifa zako zisizo binafsi kwa ajili ya madhumuni haya, unaweza kubadilisha mapendeleo yako ya faragha kupitia mtandao wako. Unaweza kurekebisha kivinjari chako kukubali cookies zote, kuzizuwia aina fulani ya cookies, kutakiwa ridhaa yako kabla ya coockie haijawekwa katika kivinjari chako, au kuzizuwia cookies zote kwa pamoja. Kwa vile utaratibu wa kubadilisha mapendeleo yako binafsi ni tafauti baina ya kila Kivinjari cha intaneti, tunashauri uangalie sehemu ya “Msaada” au “Zana” kwenye menyu ya kivinjari cha mtandao wako. Kwa maelezo zaidi, ikiwa una swali lolote au maoni kuhusu habari iliyotolewa hapa, tafadhali waandikie mameneja wa habari wa mtandao kwa kutumia anuani hii: [email protected]

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo

Nyenzo