Septemba 06, 2012
Wanajeshi wawili wa Kenya ambao ni kati ya watu watano waliopotea wiki iliyopita baada ya kukamatwa kwa mji wa Miido kutoka kwa al-Shabaab wanahofiwa kuwa wamekufa, liliripoti gazeti la The Standard la Kenya hapo Alhamisi (tarehe 6 Septemba).
Msemaji wa Jeshi la Kenya Kanali Cyrus Oguna alisema kuna uwezekano mkubwa kuwa wanajeshi hao wawili walipelekwa Kismayo na al-Shabaab. Miili ya wanajeshi wengine watatu yalipatikana, alisema.
Al-Shabaab ilituma picha za wanajeshi waliouawa katika ukurasa wake wa Twitter wiki iliyopita kufuatia mapigano kati ya vikosi via Umoja wa Afrika na Somalia, ikidai kuwa marehemu hao walikuwa wanajeshi wa Kenya. Oguna hakuthibitisha ikiwa wanajeshi waliopotea ni miongoni mwa wale waliomo kwenye picha hizo.
Oguna alilaani utumwaji wa picha hizo, akisema ni ushahidi zaidi unaothibitisha jitihada za Kenya kuwaondoa al-Shabaab nchini Somalia zina thamani. "Hii ni ishara ya wazi na sura ya kikatili ya al-Shabaab na umbali tabia yao ya kinyama unavyoweza kufikia," alisema.
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, alisema kazi za Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alipokea vyeti vya utambul...
Kwa uchache watu wanne waliuawa na watatu kujeruhiwa siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) baada ya wa...
Kenya na Tanzania zilifanya operesheni ya pamoja ya ulinzi wa mpaka siku ya Alhamisi (tarehe 16 M...
Mwanachama wa kundi la wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Somalia la Ahlu Sunna wal Jamaa, A...
Wanawake watatu waliuawa usiku wa Alhamisi (tarehe 16 Mei) katika eneo la Malkamau kwenye Kaunti ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon. siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alimteua waziri wa...
Tanzania na Canada zimesaini mkataba wa ushirikiano yanayokusudiwa kuimarisha na kuunda mazingira...
Jeshi la Taifa la Somalia liliwauwa wanamgambo 13 wa al-Shabaab siku ya Jumanne (tarehe 14 Mei), ...
Muda wa mwisho kwa wakaazi wa Mandera kusalimisha silaha zao haramu umeongezwa hadi Ijumaa (tareh...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji
KDF wanapaswa kuwamaliza wahuni hawa mara moja kabisa kabisa, pamoja na kumaliza watu wabaya wachache (wafuasi wa al-Shabaab) nchini Kenya.
Alshabab ni vazi la mapepo ambayo lazima yafutwe kutoka uso mzuri wa dunia. Tendo la kuburuza maiti wa mashujaa wetu waliokufa ni uhuni wa kishetani. Hakuna watu wanaomuogopa Mungu wangefanya vitendo hivyo vichafu. Washenzi hawa lazima waangamizwe hata kwa njia ya nyuklia. Wale walio na silaha kama hizo, wazitumie dhidi ya washenzi hawa. Tunahitaji kuiona Kismayu nzima ikiwaka kwa mionzi ya nyuklia na wale ambao watakamatwa lazima wafe kwa njia ya kifo cha maumivu zaidi na cha taratibu, wanapaswa kuburuzwa kwa kifo na miili yao kuchomwa moto.
Wakenya, tuwaombee Wakenya wenzetu walioko katika uwanja wa vita. Familia zao na marafiki wanakuwa hawalali usiku juu ya hili. Tuheshimu maiti na kufikiria mateso ya jamaa zao. Kumbukeni maneno ya msemaji wa KDF katika kutuma picha za mauaji yasiyothibitishwa.
Hii inaweza kuwa bahati mbaya kwa sababu binamu yangu ni mmoja kati ya askari wawili waliopotea. KDF wametuhakikishia kuwa bado wanaendelea kutafuta wako wapi. Kwa sasa tunaweza kuomba tu kila kitu kiwe salama.
Naam, katika kutafuta amani, wahanga ni watatu waliofariki katika kuwalinda kaka na dada zao. Hongera wanaume na wanawake katika sare.
Wanapaswa kuuliwa. Ni kitu gani kiliwaleta kutoka nchini kwao? Wamekosea sana.