Ungependa kuifanya Kiswahili kuwa lugha ya chaguo lako, katika tovuti hii? |
Agosti 28, 2012
Wawakilishi kutoka Puntland na Galmudug walikutana katika kituo cha polisi huko Galmudug siku ya Jumatatu (tarehe 27 Agosti) ili kuimarisha ushirikiano wa kiusalama baina ya tawala hizo mbili, mtandao wa Somalia wa Garowe Online uliripoti
"Puntland na Galmudug zilikutana kujadili hatima na hatua kuondokana na yaliyopita; tumedhamiria kufanyakazi pamoja ili kujenga usalama katika eneo hili," alisema Gavana wa Mudug, Mohamed Yusuf Jama.
Mkutano uliitishwa baada ya wizi wa gari kaskazini ya Galkayo, ulioripotiwa na polisi wa Puntland. Polisi ya Galmudug iliipata gari hiyo na kuirejesha kwa mwenyewe.
"Nataka kuwashukuru wawakilishi wa Puntland waliotutembelea na pia ninataka kuipongeza polisi wa Galmudug kwa kazi yao nzuri sana," alisema Makamu Gavana wa Galmudug Aweys Ali Saeed. "Naamini kuwa ikiwa tutafanya kazi pamoja tunaweza kuimarisha sana usalama katika eneo hili."
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, alisema kazi za Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alipokea vyeti vya utambul...
Kwa uchache watu wanne waliuawa na watatu kujeruhiwa siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) baada ya wa...
Kenya na Tanzania zilifanya operesheni ya pamoja ya ulinzi wa mpaka siku ya Alhamisi (tarehe 16 M...
Mwanachama wa kundi la wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Somalia la Ahlu Sunna wal Jamaa, A...
Wanawake watatu waliuawa usiku wa Alhamisi (tarehe 16 Mei) katika eneo la Malkamau kwenye Kaunti ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon. siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alimteua waziri wa...
Tanzania na Canada zimesaini mkataba wa ushirikiano yanayokusudiwa kuimarisha na kuunda mazingira...
Jeshi la Taifa la Somalia liliwauwa wanamgambo 13 wa al-Shabaab siku ya Jumanne (tarehe 14 Mei), ...
Muda wa mwisho kwa wakaazi wa Mandera kusalimisha silaha zao haramu umeongezwa hadi Ijumaa (tareh...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji
UMOJA NI NGUVU,UTENGANO NI DHAIFU.USHILIKIANO UNAFAIDA.HONGERA KWA HILO.GOOD IDEA