Agosti 19, 2012
Wachapishaji wa vitabu vya elimu Pearson, imefadhili vitabu vya kiada 150,000, atlasi na vitabu viongozi vya mwalimu kwa shule za Msingi za Tanzania, wakishirikiana na shirika la sadaka la kimataifa la Oxfam, gazeti la Daily News la Tanzania liliripoti Jumapili (tarehe 19 Agosti).
"Oxfam imefurahishwa sana kujihusisha na ufadhili kwa sababu tunahisi kwamba unarandana vizuri na programu yetu kuimarisha haki za wanafunzi wasichana katika elimu," alisema Mkurugenzi wa Oxfam Tanzania Monica Gorman.
Vitabu hivyo vitapelekwa katika shule za msingi 258 za mikoa ya Tanzania ya Arusha, Shinyanga na Dodoma. Gorman alisema ufadhili huo utafanya mabadiliko makubwa katika mikoa hii, ambayo ununuzi wa vifaa vya kujifunzia umekuwa na changamoto za kila wakati.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji