Wapiganaji wa Al-Shabaab wauawa katika shambulio baya la kigaidi huko Gedo

Agosti 19, 2012

  • 2 Maoni
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Viongozi wa Gedo walionyesha miili ya watuhumiwa watatu wa wapiganaji wa al-Shabaab siku ya Jumapili (tarehe 18 Agosti), baada ya kuuawa katika shambulio la kigaidi lililoshindwa, Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na UN iliripoti.

Mkuu wa Wilaya wa Beled-Hawo Mohammoud Ahmed Beyhani alisema wapiganaji walikuwa wanaweka milipuko kuzunguka eneo la swala ya Idd al-Fitr Jumapili katika mji huo,wakati milipuko yalipolipuka mapema, ikawaua wakosaji hao.

Mapambano ya mwishoni mwa Julai kati ya al-Shabaab na wanajeshi wa Serikali ya Shirikisho ya Mpito ya Somalia yakisaidiwa na vikosi vya Kenya yalisababisha vifo vya wapiganaji 26 na wengine wengi kujeruhiwa , kwa mujibu wa Gavana wa Gedo Mohamed Abdikalil.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 30)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Maoni ya msomaji

  • Gilbert
    August 21, 2012 @ 01:57:35AM

    Suluhisho pekee la kudumu kwa matatizo ya Somalia ni kwa mataifa yanayoizunguka kama vile Kenya na Ethiopia kuichukua na kuiunganisha nchi hio na zao na kuzifuta mila zao kwa takriban kipindi cha miaka 20 kabla ya kuirejesha nchi kwa watu wake.

  • hosea thurunira
    August 20, 2012 @ 08:25:51AM

    WASIUE watu kama mbwa ingawa ni magaidi.

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, serikali za majimbo ya shirikisho ziundwe vipi nchini Somalia kufuatia utata wa Jubbaland?

Angalia matokeo