Watuhumiwa wa al-Shabaab wakamatwa katika shambulio la Afmadow

Agosti 17, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Wanajeshi wa Somalia wakisaidiwa na mwanamgambo wa serikali iliyopita Ras Kamboni waliwakamata watuhumiwa saba wa al-Shabaab katika uvamizi wa Afmadow siku ya Alhamisi (tarehe 16 Agosti), Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa iliripoti.

Watuhumiwa hao walikamatwa wakiwa wanamiliki silaha za mkono na mabomu kinyume cha sheria na wanatuhumiwa kwa kujaribu kuvuruga usalama katika mkoa, mwakilishi wa jeshi la Somalia Colonel Fathi Hussein Abdi aliiambia Bar-Kulan.

Watuhumiwa hao kumi wamekuwa wakihojiwa katika kituo cha polisi cha Afmadow na kusubiri kusikia mashtaka yatakayotolewa dhidi yao, alisema.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 2)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo

Nyenzo