Jiwe la Msingi lawekwa katika chuo kikuu kipya mjini Mogadishu

Agosti 15, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Ujenzi ulianza siku ya Jumanne (tarehe 14 Agosti) wa chuo kikuu kipya kinachotarajiwa kuchukua zaidi ya wanafunzi 2,000 katika wilaya ya Darkenley ya Mogadishu, Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa iliripoti.

Waziri wa Elimu wa Somalia Ahmed Aideed Ibrahim aliweka jiwe la msingi katika sherehe za ufunguzi zilizohudhriwa na Gavana wa Benadir Mohamud Ahmed Nur, Balozi wa Uturuki Somalia Cemalettin Kani Torun na maafisa kadhaa wa serikali.

Chuo kikuu hicho kitakuwa kituo cha Mogadishu cha mafunzo ya afya, ambapo ujenzi unafadhiliwa na shirka la Uturuki.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 1)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo