Jumuiya ya misaada ya Djibouti yagawa chakula kwa watu 2,300

Agosti 10, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Jumuiya ya misaada ya Djibouti, al-Biri, iligawa chakula kwa zaidi ya watu 2,300 wakati wa kufanya msafara wa chakula cha Ramadhani mwezi huu, liliripoti gazeti la nchi hiyo la La Nation hapo Alhamis (tarehe 9 Agosti).

Al-Biri iliwafikia zaidi ya familia 500 katika wilaya ya Arta na miji ya Abu Yusef na Sankal kwa ushirikiano na taasisi ya Kifaransa isiyo ya kiserikali, Islamic Relief France.

Al-Biri iligawa chakula hicho kwa mayatima, wazee, walemavu na watu masikini.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 1)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo