Agosti 10, 2012
Baraza la usalama la Umoja wa mataifa katika taarifa yake ya Alhamisi (tarehe 9 Agosti) iliwalaani wale wote wanaojaribu kuzuia mchakato wa amani wa Somalia.
"Wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wanalaani vikali majaribio yanayoendelea, yakiwemo kutoka kwa al-Shabaab, ya kuzuia mchakato wa mpito," taarifa ilisema. "Wanazungumzia hili kuhusiana na dhamira ya baraza la usalama na kuchukua hatua dhidi ya wote, wa ndani na wa nje watakaojihusisha na vitendo vinavyokusudia kuzuia mchakato wa amani na maelewano."
Baraza la Usalama pia lilitoa wito kwa wabunge kuchaguliwa haraka katika njia ya uwazi.
Mwakilishi Maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Augustine Mahiga, ameripoti matukio ya utishiaji na rushwa katika mchakato wa uteuzi. Wiki hii, pia aliwataka viongozi wa Somalia kushikamana na tarehe 20 Agosti kuwa ndio tarehe ya mwisho kukamilisha mpito na kuanza kwa serikali ya kudumu.
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
Moto kwenye soko kubwa la Garissa uliharibu zaidi ya maduka 100 usiku wa Jumatatu (tarehe 17 Juni...
Waziri wa Umoja wa Kitaifa wa Djibouti Zahra Youssouf Kayad alisaini mikataba ya miradi miwili ye...
Kamati ya bajeti ya Bunge ya Kenya imekataa pendekezo la kununua ofisi mpya kwa aliyekuwa Rais Mw...
Moto ulifanya uharibifu mkubwa katika mji wa Balbala huko Djibouti siku ya Jumapili (tarehe 16 Ju...
Picha ambazo al-Shabaab ilizituma siku za Jumapili (tarehe 16 Juni) kwenye mtandao wa Twitter za ...
Polisi nchini Kenya walimuua mtuhumiwa wa ugaidi, Kassim Omolo Otemo, mjini Mombasa wakati uvamiz...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji