Polisi wa Afmadow wapambana na uhalifu

Agosti 09, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Kikosi cha polisi cha Somalia, kikisaidiwa na wanamgambo wa Ras Kamboni Brigade, waliwakamata watu kadhaa wanaoshukiwa kujihuisha na uhalifu katika eneo la Afmadow wakati wa msako wa usalama hapo usiku ya Jumatano (tarehe 8 Agosti), iliripoti redio inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa, Bar-Kulan.

Kamanda wa kituo cha polisi cha Afmadow, Adan Dorad, alisema operesheni za usalama zitaendelea hadi vikosi vya washirika viyafyeke makundi yote ya kihalifu yanayotishia usalama wa wakaazi wa huko.

Operesheni hiyo ya polisi ilifuatia mashambulizi ya Jumanne ambapo makundi yenye silaha yalirusha risasi kwa wanajeshi na raia na kusababisha idadi kadhaa ya vifo na majeruhi, iliripoti redio hiyo.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 4)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo

Nyenzo