Majeshi ya Somalia clash with al-Shabaab in Bay region

Agosti 05, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Wanajeshi wa Somalia walikuwa wakilinda Qansah Dhere katika Mkoa wa Bay dhidi ya shambulio la al-Shabaab siku ya Jumamosi (tarehe 4), Garowe Online ya Somalia iliripoti.

"Asubuhi hii vibaraka vya al-Shabaab walishambulia mji wa Qansah Dhere, na kusema ukweli hili lilikuwa kushindwa vikubwa kwa kikundi hicho, kwani majeshi ya Somalia walijihami na shambulio," alisema Gavana wa Bay Abdifatah Hasan Gesey.

Meya wa Qansah Dhere Adan Abdi Adan alisema wapiganaji 13 wa al-Shabaab na wanajeshi wawili wa Somalia waliuawa katika mapigano hayo.

Chombo cha habari cha Al-Shabaab kimeita kisa hicho kuwa cha mafanikio, kwani lengo lake lilikuwa ni kushambulia na kukimbia, iliripoti Garowe.

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, jinsi gani watu walio ughaibuni wanaweza kuisaidia vizuri zaidi Somalia?

Angalia matokeo