Agosti 03, 2012
Usalama wa chakula umeimarika kidogo mwaka huu jijini Dar es Salaam, ikilinganishwa na mwaka 2011, kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na shirika lisilo la faida la Twazeza linalofadhiliwa na Umoja wa Mataifa, gazeti la Daily News la Tanzania liliripoti hapo Ijumaa (tarehe 3 Agosti).
Utafiti huo ulioendeshwa baina ya mwezi Januari na Aprili, unaonesha uimarikaji mfululizo katika usalama wa chakula nchini ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka uliopita.
"Uchunguzi unaonesha hali ya uimarikaji mfululizo, dhidi ya kuanguka kwa upandaji wa bei wa mwaka jana, ambapo mfumko wa bei nchini ulikuwa mkubwa sana na usiopungua mwaka mzima, na kufikia asilimia 18 mwezi Disemba 2011," alisema William Kihula, meneja wa takwimu na utafiiti wa Twaweza.
Data zilizokusanywa kwa mahojiano kwa njia ya simu kwa maelfu ya wakazi wa wilaya tatu za Dar es Salaam, walioulizwa milo mingapi walikula kwa siku wiki iliyopita.
"Baada ya kuanguka sana kwa msingi uliotayarishwa miezi ya Agosti na Septemba mwaka 2010 na Januari mwaka 2012, asilimia ya nyumba zilizoripoti kupata milo mitatu kwa siku imeongezeka kwa kiasi tangu mwanzo mwa mwaka huu," ripoti hiyo ilisema.
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
Ukiritimba na ukosefu wa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam unaigharimu Tanzania na nchi jir...
Viongozi wa mkoa wa Puntland walikutana siku ya Jumanne (tarehe 21 Mei) kuwashajiisha wanawake ku...
Wanajeshi wa Somalia na wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) waliwakamata zaidi ...
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti alijadiliana ushirikiano wa kimkakati na Kanali Saleh Ben Na...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, vikosi vya usalama na mahakama vinapaswa kuomba radhi hadharani kut...
Waziri Mkuu wa Djibouti Abdoulkader Kamil Mohamed alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano katika...
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji
Kwa Somalia kukabiliwa na hatari ya wimbi jipya la njaa, kunaweza kusababisha kupote kwa maisha ya maelfu ya watu, hasa watoto na wanawake. Hatari hii inayotishia kuwa inayokuja karibuni na kubwa sana, inahitaji hatua za haraka na kuratibiwa kwa pamoja na vikosi na vyombo vyote vya msaada ya kibinadamu duniani. Tishio la njaa linaloenea kutoka kusini hadi kaskazini ya Somalia, ambako sasa ipo "Jamhuri ya Somaliland", nayo pia inakabiliwa na hali hiyo hiyo ya Somalia yenyewe. Lazima kuwepo na ongezeko la msaada ya kibinadamu ambayo inatolewa kwa Somalia, ambako kuna zaidi ya watu milioni tatu walio katika mahitaji ya kudumu ya msaada wa chakula; na ambako bado familia nyingi hazimudu kukabiliana na matatizo ya ukame unaoikumba nchi. Tatizo la mwaka jana liliacha idadi kubwa ya familia za Wasomali zikiteseka kutokana na kutokuwa na uwezo kukabiliana na athari za ukame, na wengi watalipa gharama za tatizo jipya la mahitaji yao mazao ya kilimo, kuzuia kupanda kwa bei za chakula, kunakoambatana na tahadhari za kimataifa juu ya ukosefu wa chakula unaotishia huko mbele.