Agosti 03, 2012
Maafisa wa kijeshi wa Kenya wanasema jitihada za mafunzo zimekutana na mwamko wa vijana mwaka huu, liliripoti gazeti la The Standard la Kenya hapo Alhamisi (tarehe 2 Agosti).
Luteni Kanali Luzurus Wafula, afisa mkuu wa mafunzo ya kijeshi, alisema kwamba mapambano ya wanajeshi wa Kenya dhidi ya al-Shabaab nchini Somalia yamewatia nguvu vijana na kuwavutia kujiunga na jeshi.
"Kuna shauku kubwa na mwanzoni tulidhani watu wasingelijitokeza. Huku Rumuruti tulishangazwa," alisema.
Zaidi ya wanaume 250 na wanawake 30 walijitokeza kwa mafunzo ya kijeshi kwenye Uwanja wa Michezo wa Manispaa ya Nanyuki, alisema, na mafunzo kwa ajili ya jeshi la ardhini, majini na angani yataendelea.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji
HONGERA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!