Viongozi wa Djibouti waelezea mabadiliko ya kisiasa

Julai 30, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Wenyekiti wa kamati za kudumu za Djibouti zilikutana katika Bunge la Taifa siku ya Jumamosi (tarehe 28 Julai) ili kujadili kuzipanga upya asasi na kuidhinisha makubaliano, gazeti la Djibouti La Nation liliripoti.

Wakati wa mkutano huo, ulioendeshwa na Raisi wa Bunge la Taifa Idriss Arnaoud Ali, viongozi wa serikali walijadiliana muswada wa sheria wa kupendekeza kutambuliwa kwa Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa.

Wajumbe wa Baraza pia walijadili uidhinishaji wa makubaliano kadhaa ya Ushirikiano wa Kiislamu, ikiwemo makubaliano ya mawasiliano, kupambana na ugaidi na kuunda eneo litakalopendekezwa la biashara huru miongoni mwa nchi wanachama.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo