Julai 30, 2012
Kundi moja la maulamaa wa Kiislamu wa Somalia lilipaza sauti yake kupinga vifungu kadhaa ya rasimu ya katiba hapo Jumapili (tarehe 29 Julai), likisema vinapingana na Uislamu, iliripoti Redio Risaala ya Somalia.
Rais wa Baraza Kuu la Kidini la Somalia, Sheikh Bashir Ahmed Salad, alisema kundi hilo linapoingana na vifungu vinavyohusu umri wa baleghe, kupiga marufuku tohara ya wanawake na mipaka ya Somalia.
Naibu mwenyekiti wa kundi hilo, Sheikh Nur Baruud Gurhan, alisema serikali ilikuwa imeelezea msimamo wake wa kuheshimu sheria ya Kiislamu.
Rasimu hiyo ya katiba inasema kwamba sheria ya Kiislamu ni msingi wa kisheria kwa Somalia.
Wizara ya Usafiri wa Anga ya mkoa wa Somaliland siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni) iliikataza ndege...
Polisi nchini Tanzania waliwakamata makamu wanne wa chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Ma...
Watu wenye silaha kwenye Kaunti ya Wajir walimuua polisi mmoja wa akiba wa Kenya siku ya Jumanne ...
Japan inaipa Tanzania dola milioni 49 (shilingi bilioni 80.4) kama msaada na mkopo kwa ajili ya k...
Inspekta Jenerali wa Polisi David Kimaiyo yeye pekee yake amewateua na kuwapangia kazi maafisa wa...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumanne ilimkubalia Makamu wa Rais wa Kenya Willia...
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji