Julai 22, 2012
Vitisho vya uharamia katika bahari ya Somalia vinapungua, kamanda wa kupambana na ugaidi wa Jumuiya ya Makubaliano ya Atlantiki ya Kaskazini (NATO) Commodore Ben Bekkering alisema hapo Jumamosi (tarehe 21 Julai).
"Tunapata mafanikio zaidi katika kupunguza vitisho vya uharamia wa Somalia kutokana na doria yetu mfululizo, lakini jumuiya ya kimataifa lazima iendelee kubadilishana mawazo ili kumaliza tatizo hili moja kwa moja," Bekkering alisema, kwa mujibu wa gazeti la Times la Omani.
Ofisi ya Kimataifa ya Bahari ilirikodi matukio 69 ya ugaidi yanayoyawahusu Wasomalia baina ya mwezi Januari na Julai mwaka huu, na kufanya anguko la asilimia 32 ikilinganishwa na mwaka 2011, kwa vile vikosi vya jeshi la majini vya kimataifa viliongeza juhudi zake.
Bekkering alisema uharamia wa Somalia unaendelea kusababisha upotevu wa mamilioni ya dola katika biashara ya kimataifa kila mwaka. "Ni muhimu tufanye kazi pamoja ili kuuzuia," alisema.
Wizara ya Usafiri wa Anga ya mkoa wa Somaliland siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni) iliikataza ndege...
Polisi nchini Tanzania waliwakamata makamu wanne wa chama kikuu cha upinzani cha Demokrasia na Ma...
Watu wenye silaha kwenye Kaunti ya Wajir walimuua polisi mmoja wa akiba wa Kenya siku ya Jumanne ...
Japan inaipa Tanzania dola milioni 49 (shilingi bilioni 80.4) kama msaada na mkopo kwa ajili ya k...
Inspekta Jenerali wa Polisi David Kimaiyo yeye pekee yake amewateua na kuwapangia kazi maafisa wa...
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku ya Jumanne ilimkubalia Makamu wa Rais wa Kenya Willia...
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji