Puntland yakamata silaha za kufanyia magendo ya boti kutoka kwa al-Qaeda

Julai 22, 2012

  • 1 Maoni
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Viongozi wa Puntland wametangaza wameteka meli iliyobeba mabomu kutoka Yemeni ikielekea Somalia siku ya Ijumaa (tarehe 20 Julai), gazeti la Yemen Post liliripoti.

Al-Qaeda huko Yemeni walikuwa wakisafirisha roketi, milipuko, risasi na baruti kwa al-Shabaab, alisema Waziri wa Puntland wa Bandari na Kukabiliana na Uharamia alisema Mohamed Rage. Alisema Mwanaume wa Yemeni aliwekwa chini ya ulinzi wakati meli ilipokamatwa.

Al-Shabaab walitangaza kuungana kwao na al-Qaeda mwaka jana, na serikali ya Puntland ilizingatia shughuli za al-Qaeda zinazoendelea huko Yemen zinaweza kuendelea hadi katika himaya yake, kwani wapiganaji wamejulikana wakisafiri kati ya Somalia na Yemen . Mwezi Machi Waziri wa Mambo ya Ndani wa Yemen alikiliaumu kikundi cha al-Shabaab kwa kupeleka wapiganaji takriban 300 kuungana na al-Qaeda dhidi ya jeshi la Yemeni na majeshi ya usalama.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Maoni ya msomaji

  • washingtone
    July 22, 2012 @ 04:57:33PM

    Yemen inawaunga mkono wanamgambo wa al-Shabaab nchini Somalia kwa kuwapa mafunzo vijana wasio na ajira kutoka nchi za kigeni kwa kisingizio kwamba wanawapeleka Saudia, Irani, Iraki na Afghanistani kwa kazi zenye faida kubwa na ila vijana kujikuta Somalia wanapigana sambamba na al-Shabaab na Waeritrea dhidi ya AMISOM.

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo