Julai 13, 2012
Kundi la wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Somalia, Ahlu Sunna wal Jamaa (ASWJ) limelipongeza Shirika la Chakula Duniani (WFP) kwa kurudisha operesheni za misaada katika wilaya ya Mataban mkoani Hiran, iliripoti Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa hapo Alhamis (tarehe 12 Julai).
Kamishna wa kundi la ASWJ katika wilaya hiyo, Abdirahman Abdi Mohamed, alisema kurudi kwa shirika la WFP ni hatua muhimu katika kuishughulikia hali mbaya ya kibinaadamu katika wilaya hiyo,ambako kunaishi wakimbizi wa ndani wa Kisomali wapatao 8,000.
Shirika la WFP liliondoka Mataban kufuatia mauaji ya wafanyakazi wake wawili hapo mwezi Februari.
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
Ukiritimba na ukosefu wa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam unaigharimu Tanzania na nchi jir...
Viongozi wa mkoa wa Puntland walikutana siku ya Jumanne (tarehe 21 Mei) kuwashajiisha wanawake ku...
Wanajeshi wa Somalia na wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) waliwakamata zaidi ...
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti alijadiliana ushirikiano wa kimkakati na Kanali Saleh Ben Na...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, vikosi vya usalama na mahakama vinapaswa kuomba radhi hadharani kut...
Waziri Mkuu wa Djibouti Abdoulkader Kamil Mohamed alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano katika...
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji