Kituo cha afya cha akina mama na watoto chafunguliwa nchini Jibuti

Julai 03, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Mke wa rais wa Jibuti Khadra Mohamud Haid alifadhili ufunguzi wa kituo kipya cha afya cha akina mama na watoto jijini siku ya Jumatatu (tarehe 2 Julai), gazeti la La Nation la Jibuti liliripoti.

Mako Goumaneh Pavilion, walijenga kituo cha Dar al-Hanan kwa msaada kutoka katika Mfuko wa Maendeleo wa Afrika, kituo kina vitanda 50 na vyumba viwili vya upasuaji, vyumba vitatu vya kupumzikia vimetengwa kwa ajili ya akina mama wanaohitaji ungalizi wa karibu, na vyumba kwaajili ya neonatolojia.

Haid alisisitiza umuhimu wa kutoa huduma bora kwa akina mama na watoto wachanga.

"Kupungua kwa vifo vya akina mama na watoto kumebainishwa kama jambo muhimu la taifa," alisema. "Ni kuhusu uhamasishaji mahsusi wa kitaasisi kuhusiana na umuhimu wa programu zilizotekelezwa kwa msaada wa wabia wetu wa maendeleo. Maana yake ni kupambana kwa ajili ya maisha."

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo

Nyenzo