Julai 03, 2012
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon alilaumu mashambulio ya Jumapili kwenye makanisa mawili katika mji wa Garissa nchini Kenya katika taarifa iliyotolewa na msemaji wake Jumatatu.
Mashambulio haya, ambayo kwa makusudi yalilenga maeneo ya ibada, ni ya kushutumiwa na ni makosa ya jinai," taarifa hiyo ilisema. "Hakuna sababu inayoweza kuhalalisha mashambulio yasiyokuwa na mapango yanayolenga raia. wakosaji wa mashambulio haya, na vitendo vingine vya kigaidi vya hivi karibuni, ni lazima wakamatwe kuwajibishwa."
Ban aliendelea kutoa rambirambi zake kwa waathirika wa mashambulio haya na familia zao. Si chini ya watu 16 waliuawa na dazeni kujeruhiwa katika shambulio hilo.
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
Ukiritimba na ukosefu wa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam unaigharimu Tanzania na nchi jir...
Viongozi wa mkoa wa Puntland walikutana siku ya Jumanne (tarehe 21 Mei) kuwashajiisha wanawake ku...
Wanajeshi wa Somalia na wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) waliwakamata zaidi ...
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti alijadiliana ushirikiano wa kimkakati na Kanali Saleh Ben Na...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, vikosi vya usalama na mahakama vinapaswa kuomba radhi hadharani kut...
Waziri Mkuu wa Djibouti Abdoulkader Kamil Mohamed alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano katika...
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji