Tanzania yawahakikishia raia usalama kufuatia uhalifu wa kiwango cha juu

Juni 29, 2012

  • 1 Maoni
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Waziri Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda, amewahakikishia raia kwamba serikali yake itachukua hatua zote za lazima kuhakikisha usalama wao, liliripoti gazeti la nchi hiyo la The Guardian hapo Ijumaa (29 Juni).

Pinda, aliyekuwa akitoa msimamo wa serikali, alikuwa akijibu suala la mbunge wa Sikonge, Saidi Nkumba, aliyesema kwamba licha ya serikali kufanikiwa kudhibiti uhalifu, matukio kadhaa katika siku za karibuni yameitikisa Tanzania, likiwemo lile la vifo vya wahamiaji 43 waliokuwa wakipitia nchini humo na mashambulizi dhidi ya mtalii kwenye mbuga ya Serengeti.

Pinda alisema baraza la usalama la taifa limekuwa likijadiliana hatua muafaka kwa matukio hayo.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 2)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Maoni ya msomaji

  • Mao Mgendi
    July 2, 2012 @ 10:12:28AM

    nimependa kazi yenu, nzuri, inatufumbua macho, Mungu awabariki

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo

Nyenzo