Juni 29, 2012
Muhanga mmoja wa umlipuko wa bomu katika mkahawa mjini Dhusamareb amepokea dola za Kimarekani 1,230 kama msaada wa kifedha kutoka Wasomali wanaoishi nje, imeripoti redio ya Umoja wa Mataifa, Bar-Kulan, hapo Ijumaa (Juni 29).
Sheikh Abukar Abdullahi Liban alimkabidhi Abdirahman Ali Abdi fedha hizo kulipia gharama za matibabu yake kutokana na madhara ya mishipa ya fahamu aliyoyapata kwenye mlipuko huo.
Al-Shabaab ilibeba dhamana ya mashambulizi hayo ambayo yaliwaua wabunge wawili. Majeruhi saba walipelekwa mjini Addis Ababa kupata matibabu.
Mji wa Dhusamareb katika mkoa wa Galguduud uko chini ya udhibiti wa wanamgambo wanaoiunga mkono serikali, Ahlu Sunna wal Jamaa.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji