Waziri wa Ulinzi wa Usalama aongoza mkutano wa usalama Mogadishu

Juni 29, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Waziri Mkuu wa Ulinzi wa Somalia Hussein Arab Isse aliendesha mkutano na maafisa wa serikali mjini Mogadishu siku ya Alhamisi (tarehe 28 Juni), mtandao wa habari wa Somalia wa Shabelle Media Network uliripoti.

Mkutano huo ulilenga katika kuzidisha hatua za usalama jijii, kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Banadir Mohammed Yusuf. “Kwa msaada wa watu wa Somalia na mashirika ya usalama ya Somalia, tutamaliza matendo ya hatari jijini,” alisema.

Maafisa wanasema Mogadishu imekuwa salama zaidi tangu kuondolewa kwa al-Shabaab katika mji wa karibu wa Afgoye mwezi uliopita, kwa vile wanamgambo hawana tena kambi ya karibu ya kuanzisha mashambulizi.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo