Juni 29, 2012
Mlipuko ulitokea katika mgahawa unaotembelewa na askari wengi wa Somalia na maafisa huko Balad Shabelle ya Kati siku ya Ijumaa (tarehe 29 Juni), mtandao wa habari wa Shabelle Media Network uliripoti.
Kwa mujibu wa Gavana wa Shabelle ya Kati Mohammed Jinow, hakuna mtu aliyejeruhiwa katika shambulio hilo, ingawa mashuhuda wanasema watu kadhaa waliuwawa, shirika hilo la habari liliripoti.
Jinow aliwataka wakazi wa eneo hilo kushirikiana na vvikosi vya usalama kuweka amani na usalama katika eneo hilo.
Hakuna kikkundi chochote kilichokiri kuhusika na shambulio hilo.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji