Juni 28, 2012
Wafanyakazi wa serikali ya Tanzania wamekwenda nchini China kusaini makubaliano ya mkopo wa dola bilioni 1.2 na benki ya Usafirishaji na Uingizaji ya nchi hiyo, liliripoti gazeti la Tanzania la Daily News hapo Alhamis (Juni 28).
Mkopo huo utagharamikia ujenzi wa bomba la gesi asilia lenye urefu wa kilomita 532 baina ya Mnazi Bay , Mtwara na Dar es Salaam . Mradi huo utajenga bomba jipya la inchi 24 hadi 36 kati ya Mnazi Bay na Somanga na kutanua bomba lililopo sasa kati ya Somanga na Dar es Salaam kutoka inchi 16 hadi 36. Bomba hilo litaongeza mara mbili uwezo wake kwa kusafirisha gesi yenye mita za ujazo milioni 210 kwa siku.
“Tunatarajia mradi huu utaanza wakati wowote kutoka sasa kwani tayari tumeshapata fedha,” alisema mwenyekiti wa Shirika la Maendeleo ya Mafuta la Tanzania , Michael Mwanda.
Gesi asilia inatoa asilimia 35 ya umeme nchini humo, kwa mujibu wa gazeti la Daily News.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji