Polisi wasema, amri ya kutotembea usiku imeboresha usalama

Juni 25, 2012

  • 1 Maoni
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Viongozi huko Afgoye ilisema kuzuiliwa kwa watu kutembea usiku kulikoagizwa kwa wananchi tangia mji ukombolewe mwezi uliopita kumefanikiwa, Redio inayoendeshwa na serikali iliripoti siku ya Jumapili (tarehe 24 Juni).

Mkuu wa Polisi wa Afgoye Ibrahim Dini Isaaq alisema kimsingi hali katika mji imeboreshwa kwa kuweka amri ya kutotembea usiku, ambayo awali ilipendekezwa na wazee wa mji. Matembezi ya usiku yanazuiliwa kuanzia saa 12: 15 jioni hadi 11:15 alfajiri.

Isaaq aliiambia Redio Mogadishu kwamba majeshi ya usalama yamepanua shughuli zao nje ya Afgoye, ambalo limechangia katika kuboreshwa kwa usalama wa eneo.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Maoni ya msomaji

  • خالد
    June 26, 2012 @ 01:59:58PM

    Kuweka amri ya kutotoka nje ni hatua sahihi ya kuvuruga shughuli za kigaidi. Magaidi walinilazimisha kukimbia nchi yangu. Nina matumaini makubwa kwamba nitaweza kurudi nyumbani karibuni. Ninawaomba kila la heri kwa Wasomali. Ndugu yenu Khalid, Msomali ninayeishi nchini Jordan.

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, serikali za majimbo ya shirikisho ziundwe vipi nchini Somalia kufuatia utata wa Jubbaland?

Angalia matokeo