Vikosi vya AMISOM vyateka bandari na uwanja wa ndege kutoka kwa Al-Shabaab

Juni 24, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ilitangaza hapo Jumamosi (tarehe 23 Juni) kuwa majeshi yake yameteka bandari ya El-Maan na uwanja wa ndege wa Esaley uliopo karibu kutoka kwa al-Shabaab.

Bandari na uwanja huo wa ndege, vilivyoko takriban kilomita 40 kaskazini ya Mogadishu kwenye mkoa wa Shabelle ya Kati, zilikuwa sehemu muhimu kwa al-Shabaab kwa ajili ya kuagiza silaha na kupitishia wapiganeji wake wa ndani na nje ya nchi. Al-Shabaab waliuteka uwanja huo wa ndege mwaka 2006, hivyo kuzuia upelekaji wa misaada ya kibinadamu katika eneo hilo.

“Shambulio hili la mafanikio, ambalo lilianzishwa na vikosi vyetu, limetuwezesha kuhakikisha eneo la kimkakati la usalama kwa kuingilia Mogadishu,” alisema Luteni Jenerali Andrew Gutti, kamanda wa vikosi vya AMISOM kuruhusiwa kuongezwa nguvu kwa askari kufikia 17,731, vikosi vya AMISOM vimepata nguvu kwa ajili ya kazi kubwa iliyopo mbele yao kuelekea kuleta amani na usalama kwa Somalia yote.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 16)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo