Uwanja wa ndege wa Beledweyne wafunguliwa kwa matumizi ya biashara

Juni 21, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Uwanja wa ndege wa Ugas Khalif mjini Beledweyne umefunguliwa tena na sasa uko tayari kwa matumizi ya kiraia, iliripoti Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa, hapo Jumatano (tarehe 20 Juni).

Naibu mkuu wa usalama wa mkoa huo, Ahmed Osman Abdulle, aliwahutubia watu waliohudhuria katika sherehe ya ufunguzi huo ambapo alitangaza kwamba uwanja huo wa ndege unafunguliwa kwa ajili ya ndege za kibiashara na binafsi, ikiwa ni hatua ya kuimarisha maendeleo na huduma kwa kijamii.

Hapo zamani uwanja huo wa ndege ulikuwa umewekwa kwa matumizi ya mashirika ya misaada na majeshi ya Umoja wa Afrika na Somalia.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 18)

Dislike_icon(14)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo