Juni 21, 2012
Hali ya maisha mjini Afmadow imeimarika na biashara kurudi katika hali ya kawaida baada ya vikosi vya Somalia na Kenya kuwaondoa wapiganaji wa al-Shabaab kutoka kwenye mji huo wiki tatu zilizopita, liliripoti gazeti la The Standard la Kenya hapo Jumatano (tarehe 20 Juni).
Biashara zimerudi katika masoko ya mji huo, huku wafanyabiashara wakiuza mazao kutoka mashambani, vyakula vya mifuko na makopo, nguo na bidhaa nyingine. Hata hivyo, mji umeendelea kukosa maji na umeme.
Juu ya hayo, kituo kikuu cha polisi mjini humo kimefanyiwa matengenezo na wakaazi wanajihisi salama kutembea kwa miguu hadi nyakati za usiku, kwa mujibu wa gazeti hilo la The Standard.
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
Ukiritimba na ukosefu wa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam unaigharimu Tanzania na nchi jir...
Viongozi wa mkoa wa Puntland walikutana siku ya Jumanne (tarehe 21 Mei) kuwashajiisha wanawake ku...
Wanajeshi wa Somalia na wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) waliwakamata zaidi ...
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti alijadiliana ushirikiano wa kimkakati na Kanali Saleh Ben Na...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, vikosi vya usalama na mahakama vinapaswa kuomba radhi hadharani kut...
Waziri Mkuu wa Djibouti Abdoulkader Kamil Mohamed alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano katika...
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji