Wadhamini wa Mpango Mkuu wakutana Nairobi

Juni 21, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Wadhamini wa mpango wa amani wa Somalia walikutana jijini Nairobi hapo Jumatano (tarehe 20 Juni) kujadili maendeleo yaliyopigwa kuelekea mwisho wa kipindi cha mpito.

Rais Sheikh Sharif Sheikh Ahmed wa Somalia, Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Somalia, Augustine Mahiga; maraisi wa Puntland na Galmudug, na wawakilishi wa wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Somalia, Ahlu Sunna wal Jamaa, wanahudhuria mkutano huo.

Mjumbe wa Somalia nchini Kenya, Mohammed Ali Noor, alisema matarajio kwa mkutano huo ni makubwa na maendeleo muhimu sana yatafikiwa kupitia mkutano huo, kwa mujibu wa Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa.

Tarehe ya mwisho ya Serikali ya mpito ya Somalia mwezi Agosti.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 3)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo