Juni 17, 2012
Baraza la Vyama vya Mpira vya Afrika ya Mashariki na Kati (CECAFA) limesogeza tarehe ya mashindano ya Kombe la Kagame kufanyika Dar es Salaam kuwa tarehe 14 Julai, Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye alisema hapo Jumamosi (tarehe 16 Juni).
Michezo hiyo iliahirishwa kutokana na matatizo ya kifedha, gazeti la The Citizen la Tanzania liliripoti. “Tumeziendea taasisi kadhaa kwa ajili ya msaada wa kifedha, lakini hakuna hata moja ambayo imetupa jibu la matumaini,” Musonye alisema.
Mlezi wa kombe hilo Paul Kagame ametoa zawadi ya fedha kwa mashindano hayo, na CECAFA imo katika mchakato wa kukusanya misaada zaidi.
Hii ni mara ya tatu mfululizo kwa mashindao hayo kufanyika Tanzania. Timu kutoka Afrika zitashiriki katika mashindano hayo.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji