Juni 13, 2012
Equity Bank inafikiria kupanua biashara yake ya kanda ndani ya Somalia ili kutoa fursa kwa wawekezaji wa Kenya, gazeti la Africa Review liliripoti Jumanne (tarehe 12 Juni).
“Pesa ya kodi ya Wakenya imekuwa ikitumika katika kuikomboa na kuleta amani katika nchi ile,” alisema afisa mtendaji wa Equity Bank James Mwangi wakati wa chai ya asubuhi mjini Nairobi hapo Jumatatu ili kusherehekea zawadi yake ya Ernst & Young World Entrepreneur kwa mwaka 2012.
“Sasa tunatafuta sehemu ya gawio na hili linawezekana tu kwa kuwekeza katika soko,” Mwangi alisema.
Equity Bank inafanyakazi Kenya, Rwanda, South Sudan, Tanzania na Uganda.
Jeshi la Ulinzi la Kenya liliingia Somalia ili kupambana na al-Shabaab hapo Oktoba, na majeshi yake 4,631 yalijiunga rasmi na AMISOM mwanzoni mwa mwezi huu.
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
Ukiritimba na ukosefu wa ufanisi katika bandari ya Dar es Salaam unaigharimu Tanzania na nchi jir...
Viongozi wa mkoa wa Puntland walikutana siku ya Jumanne (tarehe 21 Mei) kuwashajiisha wanawake ku...
Wanajeshi wa Somalia na wa Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) waliwakamata zaidi ...
Rais Ismail Omar Guelleh wa Djibouti alijadiliana ushirikiano wa kimkakati na Kanali Saleh Ben Na...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, vikosi vya usalama na mahakama vinapaswa kuomba radhi hadharani kut...
Waziri Mkuu wa Djibouti Abdoulkader Kamil Mohamed alitoa wito wa kuongezwa kwa ushirikiano katika...
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji