Shirika la misaada la Bahrain lachimba kisima cha maji Somalia

Juni 12, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Shirika la Kifalme la Misaada la Bahrain (RCO) limechimba kisima cha maji ya kunywa Somalia kwa kushirikiana na Shirika la Dunia la misaada la Kiislamu, Shirika la Habari la Bahrain liliripoti siku ya Jumatatu (tarehe 11 Juni).

Katibu Mkuu wa RCO Mustafa al-Sayyed alisema shirika litaendelea na kazi zake za kuwasaidia Wasomali.

Pia shirika hilo la misaada lilitiliana saini ya makubaliano ili kufanya upasuaji wa macho kwa Wasomali 6,000 kwa kushirikiana na Shirika la Misaada la Dunia la Kiislamu kama sehemu ya mchango wa Bahrain katika kutoa misaada kwa watu wa Somalia.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 2)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo