Juni 12, 2012
Viongozi wanaendesha msako mkubwa wa watu ili kuwapata watu wawili wenye bunduki waliojaribu kumuua hakimu wa eneo hilo, Waziri wa mambo ya Ndani Duur Arale alisema katika mkutano na waandishi wa habari huko Hargeisa hapo Jumatatu (tarehe 11 Juni).
Watu wenye bunduki walipiga risasi Hakimu Abdirashid Mohamed Duran siku ya Jumatatu asubuhi, vyombo vya habari vya Somaliland viliripoti. Moja ya risasi ilimpata Duran, ambaye alipelekwa katika hospitali ya Djibouti wa matibabu.
Arale aliwaambia waandishi wa habari kuwa jaribio hilo la mauaji lilikuwa mbinu rahisi iliyokusudiwa kukwamisha usalama na utulivu katika eneo hilo. Aliahidi kukamatwa kwa watu hao wenye silaha, wakati wachunguzi wa polisi wanawatafuta wahusika.
“Serikali sio tu inaahidi usalama lakini pia huduma kama kawaida,” Arale alisema, na kuwataka wananchi kuwa walinzi kuhusu vitisho vya usalama.
Hakimu Duran karibuni alihusika katika kesi ya kuwahukumu maafisa watatu wa serikali na viongozi wawili wa ndani kwa kuhusika kwao katika kujipatia isivyo halali chakula cha msaada.
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
Watu watano waliuawa na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi mawili kwenye eneo la kaskazini mash...
Sababu kuu ya vurugu ambazo ziliua zaidi ya watu 150 katika Delta ya Mto Tana mwaka jana ilitokan...
Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza mlipuko wa polio katika Pembe ya Afrika siku ya Jumatan...
Majeshi ya serikali ya Somalia yamezifungia kampuni za mawasiliano ya simu na biashara nyingine h...
Serikali ya Somalia itaanza kuunda tawala za kikanda katika maeneo yaliyokombolewa kutoka kwa al-...
Waziri wa Nishati wa Djibouti Ali Yacoub Mohamoud na Balozi wa Japani nchini Djibouti Atsushi Nis...
Ufunguzi wa Mkutano wa Wasambazaji wa mafuta na gesi Tanzania utafanyika huko Dar es Salaam tareh...
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji