Juni 12, 2012
Rais wa Somalia Sheikh Sharif Sheikh Ahmed aliwasili Afgoye Jumatatu (tarehe Juni 11), akiongoza ujumbe wa mawaziri na viongozi wa kijeshi, Redio Mogadishu inayomilikiwana serikali iliripoti.
Ujumbe imepanga kufanya mikutano hapo Jumanne na maafisa wa serikali pamoja na wazee wa kikabila na viongozi wa dini wa Afgoye ili kujadili jinsi ya kuimarisha usalama na kuhakikisha usalama wa raia.
Ahmed pia atafanya kikao katika ukumbi wa mji na wakazi wa mitaa ili kujadili njia ya kupambana na watu wenye msimamo mkali na jinsi ya kuanzisha utawala bora wa serikali katika mji.
Ziara hiyo ya Rais ya usiku kucha huko Afgoye ni mara ya kwanza rais wa Somalia kulala Afgoye kwa zaidi ya miaka 20.
Majeshi ya Umoja wa Afrika na Somalia yaliiteka ngome ya zamani ya al-Shabaab huko Afgoye.
Baadhi ya wabunge wa Somalia wameitupilia mbali hoja ya kumtaka waziri mkuu na baraza lake la maw...
Wabunge wa upinzani walidai kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikibana uhuru wa kujieleza na kud...
Sampuli ya DNA iliyochukuliwa kwenye mswaki uliokuwemo kwenye begi lililokuwa na risasi lililopat...
Wakenya kumi na wasaba wameshtakiwa kwa kuvunja amani, kufanya ghasia na ukatili dhidi ya wanyama...
Al-Shabaab imedai kuhusika na urushwaji wa makombora kwenye kasri ya rais mjini Mogadishu siku ya...
Wanajeshi wa Uganda wa Kikosi Namba 9+ wanarudi nyumbani baada ya kukamilisha miezi 13 ya ziara y...
Kikosi cha polisi cha Kenya kitaanza uhakiki wa kina wa maofisa mwezi ujao, kikianza na kusaili w...
Ujambazi ulizuiwa katika ofisi za usalama za Wells Fargo huko Mombasa ulisababisha kifo cha watu ...
Rais wa Ghana John Dramani Mahama aliahidi msaada wa nchi yake katika kipindi cha ujenzi mpya wa ...
Polisi nchini Tanzania walimkamata mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msingwa, na wafanyabiashara 60 k...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji
Maoni ya msomaji
Amani ya Somalia ni kwa ajili ya Wasomali, hivyo lazima waongoze katika kurejesha utulivu. Hongera Mheshimiwa Raisi.