Juni 08, 2012
Mamia ya watu wa ndani waliokimbia makazi yao huko Puntland walipewa nyumba mpya hapo Alhamisi (tarehe 7 Juni) wakati wa sherehe za makabidhiano iliyoongoza na baraza la Wakimbizi la Norwei (NRC) na Kamiheni ya Wakimbizi ya UN (UNHCR).
Mahirika ya wakimbizi yalitoa makazi 250 ya kudumu kwa jamii huko Kaskazini ya Galkayo, na kuwapatia makazi kwa watu 1,500 waliokimbia makazi yao, NCR ilisema.
Maafisa wa ndani na kimataifa walihudhuria sherehe hizo katika makazi ya Halaboqad, ambao walitoa hotuba na watoto kuimba. NCR na UNHCR waligharimia na kuendaa ujenzi wa nyumba hizo.
“Ni siku njema kushuhudia familia zote zinapata funguo za nyumba zao mpya,” alisema Hassan Khaire, mkurugenzi wa kanda ya NRC. “Watu hawa wamekuwa wakihamishwa mara kadhaa na wameteseka kwa miaka mingi ya mapambano. Kupata kwao makazi mapya kutawarahisishia kuanzisha upya maisha ya heshima.”
“Kwa kutoa ardhi na kuipatia kila familia cheti cha umiliki, Manispaa ya Galkayo ya Kakazini ilikuwa na njia ndefu ya kuwafanya watu waishi kwa maikilizano,” alisema Mwakilishi wa UNHCR nchini Somalia Bruno Geddo.
Polisi nchini Tanzania wamewakamata watu 90 siku moja baada ya maandamano ambapo mtu mmoja aliuaw...
Kenya ililiomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) kufutwa kw...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia aliongoza sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya kuanzishwa ...
Mawaziri wa mambo ya nje wa mataifa wanachama wa Shirika la Maendeleo la Pembe ya Afrika (IGAD) w...
Kiongozi wa jamii huko Zanzibar, Mohammad Omar Said, alishambuliwa kwa tindikali siku ya Alhamisi...
Mahakama moja ya Puntland imewahukumu kifo watu saba kwa mauaji ya ulamaa wa Kisomali, Abdulkadir...
Shirika la kimataifa la misaada la Global Partnership for Education (GPE) limetangaza msaada wa d...
Shirika la kimataifa la kuteteta haki za binadamu la Amnesty International limetoa wito kwa Kenya...
Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto ameahidi adhabu kali zaidi kwa majangili katika mswada wa Sh...
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji