Mei 31, 2012
Serikali ya Tanzania iliwahakakishia watalii wa nje na umma kwa jumla hapo Jumatano (tarehe 30 Mei) kuwa usalama wa Zanzibar sasa umedhibitiwa kufuatia machafuko yaliyozuka wiki iliyopita, gazeti la Tanzania la Daily News liliripoti.
“Hili lilikuwa tukio lisilo la kawaida ambalo tayari limeshadhibitiwa na serikali,” alisema Waziri wa Utalii na Maliasili Khamis Kagasheki katika taarifa. “Hivi tunavyozungumza ni kuwa Zanzibar kuna amani. Hakukuwa na taarifa za uharibifu wa hoteli au mashambulizi kwa watalii.”
Viongozi wa kidini kutoka Zanzibar walilaani vurugu hizo hapo Jumatano, na kuitaka serikali kuwashitaki wakosaji, gazeti la Tanzania la The Guardian liliripoti.
Serikali ilisema ina wajibu wa kulinda uhuru wa dini Zanzibar na watu kutoka dini zote wana uhuru wa kubaudu.
“Zanzibar itaendelea kuwa taifa lisilofuata dini na dini zote zitapewa haki sawa machoni mwa serikali na hatutamruhusu mtu yeyote anayetaka kuwafanya watu wajihisi ni duni kwa sababu ya dini yao,” alisema Waziri wa Nchi katika Afisi ya Makamo wa Pili wa Raisi Mohammed Aboud Mohammed.
Ujumbe kutoka Jumuiya ya Maendeleo ya Pembe ya Afrika (IGAD) uliwatembelea maafisa mjini Mogadish...
Mshukiwa wa ugaidi na mke wake walipigwa risasi na kufa na maafisa sita wa polisi walijeruhiwa wa...
Watu watano walikamatwa siku ya Jumanne mjini Dar es Salaam wakiwa na vifaa vya kulipua katika mi...
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta aliwataka wabunge kuweka kando madai yao ya kuongezwa mishahara kwa ...
Majeshi ya serikali ya Somalia waliwaua wanamgambo tisa wa al-Shabaab wakati wa mapambanao hapo J...
Mtu asiyejulikana alimpiga kwa risasi na kumuua ofisa wa kitengo cha usalama cha kijeshi huko kas...
Muungano wa Jubilee tawala cha Kenya kilichukua uongozi wa kamati mbili muhimu za bunge Ijumaa (t...
Chama cha Wafanyabiashara na Asasi ya Chakula na Kilimo ya Umoja wa Mataifa vinatoa mafunzo kwa w...
Balozi wa Umoja wa nchi za Ulaya nchini Tanzania Filiberto Ceriani Sebregondi aliwahamiza waandis...
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, alisema kazi za Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji