Mei 30, 2012
Rais wa Somalia Sharif Sheikh Ahmed na baraza la mawaziri walitembelea wilaya ya Afgoye mnamo Jumanne (tarehe 29 Mei) na walizungumza na wakazi wa eneo hilo lililokombolewa upya, Shirika la Habari la Taifa la Somalia liliripoti.
Rais huyo, ambaye alinusurika na majaribio ya mauaji siku hiyo, alitembelea Elasha Biyaha na Alamade na kuwahimiza wakazi kushirikiana na vikosi vya usalama na serikali ya Somalia. Ujumbe wake uliwajumuisha mawaziri, watunga sheria na maofisa waandamizi wa usalama.
Kamanda wa jeshi wa Somalia na vikosi vya AMISOM walimkaribisha rais huyo na ujumbe wake, wakiimarisha usalama katika eneo hilo, shirika hilo liliripoti.
Rais huyo alivishukuru vikosi vya Somalia na vya Umoja wa Afrika kwa ushindi wao dhidi ya al-Shabaab huko Afgoye.
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
Watu watano waliuawa na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi mawili kwenye eneo la kaskazini mash...
Sababu kuu ya vurugu ambazo ziliua zaidi ya watu 150 katika Delta ya Mto Tana mwaka jana ilitokan...
Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza mlipuko wa polio katika Pembe ya Afrika siku ya Jumatan...
Majeshi ya serikali ya Somalia yamezifungia kampuni za mawasiliano ya simu na biashara nyingine h...
Serikali ya Somalia itaanza kuunda tawala za kikanda katika maeneo yaliyokombolewa kutoka kwa al-...
Waziri wa Nishati wa Djibouti Ali Yacoub Mohamoud na Balozi wa Japani nchini Djibouti Atsushi Nis...
Ufunguzi wa Mkutano wa Wasambazaji wa mafuta na gesi Tanzania utafanyika huko Dar es Salaam tareh...
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji