Meya wa Mogadishu azindua mafunzo ya kuponya kihoro

Mei 25, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Meya wa Mogadishu Mohamud Ahmed Nur alizindua siku ya Alhamisi (tarehe 24 Mei) programu ya kuponya kihoro na makubaliano ya kijamii ili kusaidia makubaliano na mshikamano wa kijamii, Redio RBC ya Somalia iliripoti.

Awamu ya kwanza ya programu itakuwa ni mafunzo ya wakufunzi 32 wa kuponya kihoro, ambao wataendelea kuwafundisha watu wengine 800 katika Mkoa wa Benadir.

Meya huyo alisisitiza umuhimu wa kuhimiza uponyaji wa kihoro na makubaliano ya kijamii, ambayo alisema yatasaidia kuleta amani na utulivu huko Mogadishu.

Programu ya makubaliano ya kijamii na uponyaji wa kihoro ni sehemu ya Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID), Programu ya Jitihada za Mpito kwa ajili ya Utulivu.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 3)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo