Mei 24, 2012
Polisi wa Somalia wameonesha mwili wa mshukiwa mpiganaji wa al-Shabaab aliyepigwa risasi wakati akiwa amebeba maguruneti ambayo polisi wanaamini kuwa yalitumike kwenye mashambulizi ya soko la Bakara, Mtandao wa Habari wa Shabelle nchini Somalia uliripoti siku ya Jumatano (tarehe 23 Mei)
"Alikuwa mmoja kati ya vijana wanaorubuniwa na kundi la al-Shabaab na vikosi vyetu vya polisi walimuua usiku uliopita kwenye soko hii baada ya kupewa taarifa zake na wenyeji," alisema Msemaji wa Polisi ya Somalia Abdullahi Hassan Barise. "Tunatoa wito kwa vijana waliojiunga na al-Shabaab kuachana na kundi hilo na kujutia yale wanayoyafanya dhidi ya nchi yao.”
Jeshi la Polisi nchini Somalia limekuwa likiendesha operesheni kubomoa biashara haramu kwenye mitaa mbalimbali kwenye soko la Bakara. Mwishoni mwa wiki iliyopita, washambuliaji wasiojulikana walirusha maguruneti dhidi ya askari waliokuwa wakivunja majengo yasiokuwa halali katika soko la Bakara na kuwaua wawili kati yao.
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, alisema kazi za Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alipokea vyeti vya utambul...
Kwa uchache watu wanne waliuawa na watatu kujeruhiwa siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) baada ya wa...
Kenya na Tanzania zilifanya operesheni ya pamoja ya ulinzi wa mpaka siku ya Alhamisi (tarehe 16 M...
Mwanachama wa kundi la wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Somalia la Ahlu Sunna wal Jamaa, A...
Wanawake watatu waliuawa usiku wa Alhamisi (tarehe 16 Mei) katika eneo la Malkamau kwenye Kaunti ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon. siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alimteua waziri wa...
Tanzania na Canada zimesaini mkataba wa ushirikiano yanayokusudiwa kuimarisha na kuunda mazingira...
Jeshi la Taifa la Somalia liliwauwa wanamgambo 13 wa al-Shabaab siku ya Jumanne (tarehe 14 Mei), ...
Muda wa mwisho kwa wakaazi wa Mandera kusalimisha silaha zao haramu umeongezwa hadi Ijumaa (tareh...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji