Mei 23, 2012
Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia Augustine Mahiga alitangaza Jumatano (tarehe 23 Mei) kuwa al-Qaeda walioshirikana na al-Shabaab wameshindwa katika mapambano huko Somalia ya Kusini na Kati.
Mahiga aliuambia mkutano wa Mpango Mkuu huko Addis Ababa kuwa jana mapambano ya AMISOM na TFG dhidi ya gome za al-Shabaab katika ushoroba wa Afogoye ilikuwa ishara ya kushindwa kwa al-Shabaab, akiongezea kuwa kundi hilo liko katika hali ya kukimbia, Mtandao wa Shabelle Media Network wa Somalia uliripoti.
Katika habari zinazohusiana na hizo, Jenerali wa Somalia Abdikarim Yusuf aliuambia mtandao wa Shabelle kuwa AMISOM na serikali ya Somalia wanafikiria kuongeza mashambulizi ya jeshi lao dhidi ya al-Shabaab na kuahidi kuwa watashambulia kundi hilo la wanamgambo popote walipo katika nchi hii. Yusuf alisema kuwa wapiganaji wa al-Shabaab wanakumbana na fursa zao za mwisho za kujisalimisha.
Raisi wa Kenya Uhuru Kenyatta siku ya Alhamisi (tarehe 23 Mei) alitoa majina mawili ya mwisho ya ...
Watu watano waliuawa na wanne kujeruhiwa katika mashambulizi mawili kwenye eneo la kaskazini mash...
Sababu kuu ya vurugu ambazo ziliua zaidi ya watu 150 katika Delta ya Mto Tana mwaka jana ilitokan...
Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitangaza mlipuko wa polio katika Pembe ya Afrika siku ya Jumatan...
Majeshi ya serikali ya Somalia yamezifungia kampuni za mawasiliano ya simu na biashara nyingine h...
Serikali ya Somalia itaanza kuunda tawala za kikanda katika maeneo yaliyokombolewa kutoka kwa al-...
Waziri wa Nishati wa Djibouti Ali Yacoub Mohamoud na Balozi wa Japani nchini Djibouti Atsushi Nis...
Ufunguzi wa Mkutano wa Wasambazaji wa mafuta na gesi Tanzania utafanyika huko Dar es Salaam tareh...
Wabunge wameondoa hoja yao inayomtaka Waziri Mkuu Abdi Farah Shirdon na baraza lake la mawaziri k...
Rais Ahmed Silanyo wa mkoa wa Somaliland alikutana na Mwakilishi Maalum wa Umoja wa Ulaya kwa Som...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji