Mei 22, 2012
Vyombo viwili vya kigeni vinavyotumia nyavu za kukokota zinavua visivyo halali katika bahari ya Puntland, kuwepo kwao kunaiumiza sekta ya uvuvi kwa wenyeji, alisema meya wa wilaya ya Bayla hapo Jumatatu (tarehe 21 Mei).
“Jumapili usiku, vyombo hivyo vya kigeni vinavyotumia nyavu za kukokota vilionekana katika bahari ya Bayla,” Meya wa Bayla Saeed Adan Ali alisema, kwa mujibu wa Mtandao wa habari wa Garowe Online wa Somalia. “Vyombo hivi vinasababisha hasara kubwa kwa mwambao wetu na watu wake."
Meya alisema wavuvi wa kukokotoa wa kigeni wanaathiri upatikanaji riziki wa wavuvi wa eneo hili, kwa vile wanajaribu “kuvua kupita kiasi na kuharibu viumbe vya baharini, yote haya yakiwa na athari kubwa sana kwa wavuvi wetu".
Alisema viongozi wa eneo hawana vifaa vya kuwazuia wavuvi hao, ambao wanavua umbali wa maili mbili za baharini nje ya mwambao.
Nyavu za kukokota mara nyingi huharibu viumbe vya baharini, ikiwa ni pamoja na kamba wanaoishi karibu na sakafu ya bahari, vyombo vya habari vinaripoti.
Polisi waliwakamata mamia ya watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa al-Shabaab katika wilaya za Hod...
Kongamano la siku tatu juu ya elimu lilifunguliwa mjini Mogadishu siku ya Jumanne (tarehe 18 Juni...
Wanajeshi wa serikali ya Somalia wakisaidiwa na wanajeshi wa Misheni wa Umoja wa Mataifa (AMISOM)...
Waziri wa Mambo ya Ndani na Uratibu wa Serikali ya Kitaifa, Joseph Ole Lenku, siku ya Jumatatu (t...
Moto kwenye soko kubwa la Garissa uliharibu zaidi ya maduka 100 usiku wa Jumatatu (tarehe 17 Juni...
Waziri wa Umoja wa Kitaifa wa Djibouti Zahra Youssouf Kayad alisaini mikataba ya miradi miwili ye...
Kamati ya bajeti ya Bunge ya Kenya imekataa pendekezo la kununua ofisi mpya kwa aliyekuwa Rais Mw...
Moto ulifanya uharibifu mkubwa katika mji wa Balbala huko Djibouti siku ya Jumapili (tarehe 16 Ju...
Picha ambazo al-Shabaab ilizituma siku za Jumapili (tarehe 16 Juni) kwenye mtandao wa Twitter za ...
Polisi nchini Kenya walimuua mtuhumiwa wa ugaidi, Kassim Omolo Otemo, mjini Mombasa wakati uvamiz...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji