Kenya, Tanzania, wajadili masuala ya uharamia, maendeleo

Mei 20, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Wajumbe kutoka nchi 18, zikiwemo Kenya na Tanzania, walihudhuria katika uzinduzi wa ofisi mpya katika makao makuu ya Indian Ocean Rim Association for Regional Co-operation ya Morisi, gazeti la Tanzania la Daily News liliripoti hapo Jumapili (tarehe 20 Mei).

Wajumbe walijadili mada sita za kipaumbele za jumuiya hiyo – usalama baharini, biashara na uwekezaji, sekta ya uvuvi, usimamizi wa majanga, utalii na kukuza uwezo.

“Mazingira ya sasa ya usalama baharini katika baadhi ya sehemu za Bahari ya Hindi bado ni dhaifu,” akisema Sudhir Vyas, katibu wa mahusiano ya kiuchumi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya India, ambaye aliongoza kamati ya maafisa wakuu. “Idadi inayoongezeka ya kesi za uharamia na wizi wa kutumia silaha katika baharí vinatishia usafirishaji na biashara.”

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, serikali za majimbo ya shirikisho ziundwe vipi nchini Somalia kufuatia utata wa Jubbaland?

Angalia matokeo