Mei 16, 2012
Mpelelezi Mkuu wa Polisi nchini Tanzania (IGP) Saidi Mwema ameunda timu ya kuchunguza tuhuma za vyeti vilivyoghushiwa na baadhi ya maofisa wa Jeshi la Wananchi la Tanzania, gazeti la Daily News la Tanzania liliripoti siku ya Jumatano (tarehe 16 Mei).
"IGP ameunda timu ya kuchunguza kashfa hii ili kuhakikisha uvumi huo wa kugushi, timu hiyo imeanza kazi yake mara moja leo," msemaji wa polisi Advera Senso alisema siku ya Jumanne.
Kashfa hiyo ilitangazwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa, ambayo iligundua kwamba zaidi ya maofisa 700 wa polisi na takriban wanajeshi wa jeshi la ulinzi 250 walishushi vyeti vyao za masomo.
Senso alisema hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi ya wale wote waliokamatwa kughushi vyeti vyao vya masomo.
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, alisema kazi za Misheni ya Umoja wa Afrika nchini Somalia ...
Rais Hassan Sheikh Mohamud wa Somalia siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alipokea vyeti vya utambul...
Kwa uchache watu wanne waliuawa na watatu kujeruhiwa siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) baada ya wa...
Kenya na Tanzania zilifanya operesheni ya pamoja ya ulinzi wa mpaka siku ya Alhamisi (tarehe 16 M...
Mwanachama wa kundi la wanamgambo wanaoiunga mkono serikali ya Somalia la Ahlu Sunna wal Jamaa, A...
Wanawake watatu waliuawa usiku wa Alhamisi (tarehe 16 Mei) katika eneo la Malkamau kwenye Kaunti ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon. siku ya Alhamisi (tarehe 16 Mei) alimteua waziri wa...
Tanzania na Canada zimesaini mkataba wa ushirikiano yanayokusudiwa kuimarisha na kuunda mazingira...
Jeshi la Taifa la Somalia liliwauwa wanamgambo 13 wa al-Shabaab siku ya Jumanne (tarehe 14 Mei), ...
Muda wa mwisho kwa wakaazi wa Mandera kusalimisha silaha zao haramu umeongezwa hadi Ijumaa (tareh...
(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji