4 wafa katika mapigano kati ya al-Shabaab na vikosi vya Somalia

Mei 16, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Mapambano kati ya al-Shabaab na vikosi vya serikali ya Somalia vilivyorudishwa nyuma na vikosi vya Kenya viliacha wanne wakiwa wamekufa na kwa dazani kujeruhiwa, Serikali ya Mpito ya Shirikisho ya Somalia Colonel Mohamed Abdullahi aliiambia Redio Bar-Kulan inayofadhiliwa na Umoja wa Mataifa.

Mapigano hayo yalianza wakati vikosi shirika viliposhambulia ngome ya al-Shabaab nje ya kijiji cha Hayo katika wilaya ya Afmadow katika jitihada zao za kuwaondoa al-Shabaab kwenye eneo hilo, Bar-Kulan iliripoti Jumanne (tarehe 15 Mei).

Abdullah alisema wapiganaji watatu wa al-Shabaab na askari mmoja kutoka vikosi shirika waliuawa katika mapambano hayo.

Al-Shabaab bado hawajasema chochote kuhusu mapambano hayo.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 2)

Dislike_icon(1)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo