Mogadishu kuchukua hatua kali za kinidhamu kwa wanaodanganya kuwa ni askari

Mei 14, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Ofisa mwandamizi wa Benadir alisema Jumapili (tarehe 13 Mei) kuwa serikali itawachukulia hatua kali wahalifu wanaovalia kama askari wa serikali ya Somalia, Shirika la Habari la Taifa la Somalia liliripoti.

Vikosi vya usalama vitapigana na wahalifu wanavalia kama askari ambao wanaua na kuwaibia raia huko Mogadiashu, Makamu wa mwenyekiti wa Benedir aliwambia waandishi wa habari. Alisifu vikosi vya taifa la Somalia kwa kuboresha usalama katika mji mkuu huo.

Katika habari nyingine, Waziri wa Usalama Hussein Arab Isse aliiambia Redio Mogadishu kuwa vikosi vya usalama vya Taifa ambavyo vinapata mafunzo huko Uganda vitarudishwa Mogadishu wiki ijayo kushiriki katika operesheni ya usalama inayoendelea dhidi ya al-Shabaab.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo

Nyenzo