Vikosi vya serikali ya Somalia vyazuia mpango wa mauaji

Mei 14, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Idara ya Usalama wa Taifa la Somalia (NSS) limemkamata mshukiwa wa al-Shabaab kutokana na kumiliki milipuko katika wilaya ya Hodon ya Mogadishu, Mtandao wa Habari wa Garowe Online wa Somalia uliripoti Jumatatu (tarehe 14 Mei).

Kijana wa kiume alipewa milipuko kuitegesha kwenye gari la ofisa wa ndani katika wilaya ya Hilawa, alisema Mkurugenzi wa NSS Ahmed Mo’allim Fiqi.

“Aina hizi za milipuko zilikusudiwa kutegeshwa kwenye magari,” Fiqi alisema. “Mkosaji huyo alipanga kutegesha chombo hiki kwenye gari la ofisa wa serikali, mbinu mpya ambayo al-Shabaab wanaitumia kufanya vitendo vya kutisha dhidi ya watu wa Mogadishu.”

Mshambuliaji itawezekana kuwa alitokea katika eneo la mkoa wa Lower Shabelle unaothibitiwa na kikundi cha washirika wa al-Qaeda, al-Shabaab.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo