Red_arrow

Ungependa kuifanya Kiswahili kuwa lugha ya chaguo lako, katika tovuti hii? |

Mabaharia 17 wa meli ya Uholanzi waachiwa huru na maharamia

Mei 13, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Meli ya jeshi la maji ya Uholanzi ya Van Amstel siku ya Ijumaa (tarehe 11 Mei) iliwaachia huru mabaharia 17 ambao walitekwa na watuhumiwa wa uharamia nje ya pwani ya Somalia, Waziri wa Ulinzi wa Uholanzi alisema.

"Mabaharia hao walioachiwa huru wanaendelea vizuri wakizingatia mazingira hayo na wanaendelea na safari," wizara ilisema, ikitangazwa na HAbari ya BNO News ya Uholanzi. "Watuhumiwa hao wa uharamia walihamishiwa katika manoari ndogo ya kusindikiza. Kwa sasa wafanyakazi wa misheni ya Umoja wa nchi za Ulaya Atalanta wanajadiliana uwezekano wa kuwashitaki watuhumiwa wa uharamia."

Wizara ilisema watuhumiwa 11 wa uharamia walichukuliwa katika uangalizi, na kukamata silaha za baharini, baruti na vitu vingine vinavyoweza kutumika katika uharamia.

Utaifa wa mabaharia hao na muda waliochukuliwa mateka havikupatikana mapema.

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo