Polisi wa Kenya katika tahadhari kwa mtuhumiwa wa kigaidi wa Kijerumani

Mei 13, 2012

  • + Toa maoni sasa
  • Chapisha
  • Panga upya Punguza Ongeza

Jeshi la Polisi la Kenya lilisambaza hapo Jumamosi (tarehe 12 Mei) picha ya Mjerumani mwanaume anayeaminiwa kuwa ameingia Kenya isivyo halali na anashutumiwa kuwa na mahusiano na al-Shabaab.

Msemaji wa polisi Eric Kiraithe kuwa Ahmed Khaled Mueller anatakiwa kwa kuhojiwa juu ya vitendo vya uhalifu vinavyohusiana na wanamgambo wa al-Shabaab, wenye uhusiano na al-Qaeda.

"Ahmed Khaled Mueller kwa hivyo anatakiwa kufikia kituo chochote cha polisi kilicho karibu naye ambako atakabidhiwa kwa Kitengo cha Kupambana Ugaidi," Kiraithe alisema, na kuongeza kuwa mtuhumiwa huyo pia natumia majina ya Andreas Martin Muller na Abu Nusaibah.

Polisi walisema mtuhumiwa anaweza kuwa ana silaha, na kumtaka mtu yeyote mwenye habari yuko wapi kuzipeleka habari hizo kwa viongozi

Unaonaje kuhusu makala hii? (Jumla ya Kura 0)

Dislike_icon(0)

(Sera za kutoa Maoni) *Inaonesha Maeneo yanayohitaji

Habari Mpya kabisa

Katika Mwangaza

Jisajili

Kura

Je, unadhania kupigwa marufuku kwa hotuba ya chuki na Tanzania kutakomesha mashambulizi dhidi ya makanisa na misikiti?

Angalia matokeo